Visão geral do jogo
JipimePlus App, inakuwezesha kujibu maswali mbalimbali mtandaoni, kujishindia zawadi mbalimbali huku ukichangamsha ubongo na kupima uwezo wako wa kufikiri.
JipimePlus APP imetengenezwa mahususi kuleta hamasa ya kujifunza, kufahamu na kutenda kwa Njia ya maswali na majibu.
Desenvolvedor
Mainstream MediaData de atualização
Ago 07, 2021Data de lançamento
Ago 23, 2019Preço
GrátisDesenvolvedor
Mais jogos de Mainstream Media
