GamesManeno quiz
Maneno quiz - Screenshot 1
Maneno quiz - Screenshot 2
Maneno quiz - Screenshot 3
Maneno quiz - Screenshot 4

Spielüberblick

* * *Maneno quiz* ** Maneno quiz - swahili game ni mchezo/game ya kiswahili ambayo unatengeneza neno la kiswahili kwa kuunganisha herufi za kiswahili ambazo zinaweza kuleta maana.

Tafuta maneno- swahili game ina maneno zaid ya 1000 ambayo ni sanifu na yapo katika kamusi sanifu ya kiswahili.

MANENO QUIZ - SWAHILI GAME

FEATURES

- Maneno quiz - swahili game unaweza kucheza bila yakuwa na data (offline)

- Maneno quiz - swahili game ina leader board ambayo inaweza kukuonyesha points za wenzako na mtu ambae anaongoza

- Maneno quiz - swahili game unaweza kushindana na wenzako na kuona points zao

-Maneno quiz - swahili game ni bure kucheza haihitaji malipo ili ucheze

- Maneno quiz - swahili game unaweza kutumia hints ambazo zitakusaidia endapo itakuwa umekwama

- Maneno quiz - swahili game imetumia maneno fasaha na sanifu ya kiswahili

- Maneno quiz - swahili game anaweza kucheza mtu mwnye umri wowote

- Maneno Quiz - swahili game imetengenezwa katika muonekano rahisi ili mtu yeyote aweze kutumia.

Entwickler
KWIFTI
Aktualisierungsdatum
Feb. 27, 2022
Veröffentlichungsdatum
Okt. 29, 2019
Preis
Kostenlos

Entwickler

Mehr Spiele von KWIFTI
Cookies von Skich in diesem Browser akzeptieren?

Skich verwendet Cookies und ähnliche Technologien zur Bereitstellung, Verbesserung, Sicherung und Analyse unserer Dienste. Indem du auf „Alle akzeptieren“ klickst, erklärst du dich damit einverstanden, dass wir unsere Cookies und Cookies von Dritten verwenden gemäß unserer Cookies-Richtlinie.